Tangaza Biashara yako na Hundred Radio

Fikia maelfu ya watu kwa kutangaza biashara yako nasi hapa, wasiliana nasi ili kuweza kutangaza nasi. Karibuni wote

Monday, August 10, 2015

Maelfu wamsindikiza Lowassa kuchukua fomu NEC

Aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa amechukua Fomu rasmi ya kugombea urais kupitia tiketi ya Chadema. Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu amesema baada ya kuchukua fomu hizo Lowassa atakuwa tayari kuzunguka nchi nzima kujitambulisha kwa wananchi kama mgombea rasmi wa Chadema. Lissu amesema uamuzi wa kumsimamisha mgombea huyo haukuwa wa kukurupuka bali umefuata uchunguzi wa muda usiopungua miezi mitatu na kujiridhisha kuwa Lowassa anafaa kuwa mgombea urais chini ya chama...

Page 1 of 11